Kila
mwanaume halisi lazima ajivunie uume wake na hasa anapofahamu faida yake kubwa
aliopewa na mwenyenzi Mungu.Uume ni chanzo kikuu na cha pekee kwa heshima ya
mwanaume lakini ukosefu wa ufahamu unaweka uume hatarini sana.Na sio hilo tu
bali watu wenye tama ya kujitajirisha bila kujali usalama wa watu wengine nao
ni maadui sugu wa heshima hii ya kipekee ya mwanaume. Kwenye dawa za mswaki
kama vile kwenye sigara na pombe unatakiwa upewe onyo kali la aina hii:
ONYO:-
“Weka mbali na watoto
chini ya miaka 6 iwapo utameza zaidi ya ile inayohitajika kupigia mswaki haraka
muone Daktari au kituo chochote cha kuzuia majanga ya sumu.”
Onyo
hili linazungumzia kiwango cha madini ya FLUORIDE yaliyomo kwenye dawa za
mswaki. FLUORIDE ni sumu mbaya na kiasi kinachoweza kuleta madhara ndicho
ambacho ni muhimu kuwa makini nacho. Makampuni yote ya dawa za miswaki wanajua
hatari hiyo na hivyo kukuwekea povu lenye ladha nzuri kuficha makali ya sumu
hiyo.
Ni
kweli sumu hiyo ya FLUORIDE iliomo kwenye dawa ya mswaki ni ndogo lakini hebu tujiulize;
“hivi ni busara kuonja sumu hata kama ni
kiasi kidogo?. “ pamoja na sumu hiyo
pia ipo nyingine iitwayo SODIUM LAURYL SULPHATE ambayo huleta hisia kama ya
kuunguza hivi na ukakasikakasi na mlundikano wa sumu hii nyingine unaweza
kuleta matatizo kwenye njia ya chakula.
Huko
Marekani shirika la serikali linalohusika na mambo ya usalama wa chakula FDA
mwaka 1997 ilitoa ripoti kuwa dawa ya mswaki ya COLGATE kama vile dawa nyingine
za mswaki zina madini yaitwayo TRICLOSAN ambayo yana nguvu ya kusababisha
ugonjwa wa saratani (CANCER).
Taarifa
hiyo ya FDA yenye kurasa 35 imeelezea pia kemikali hiyo ya TRICLOSAN inaweza
khatarisha ukuaji wa mimba au kutoka kwa mimba. Na sio hilo tu bali pia
kemikali hiyo inawafanya bacteria wawe sugu kwa dawa zenye antibiotics, FDA
inaendelea na uchunguzi wake ili kuwasaidia makampuni kutafuta kemikali
mbadala. Pamoja na hiyo, sio faraja
kwetu kuona kuwa tunatumia vitu vyenye hatari kwa maisha yetu.
Ndugu
yangu amka, uume wako unashambuliwa bila ya wewe kujua. Nimekuwa nikifanya kazi
ya ushauri kwa muda wa miaka 8 sasa. hivyo muda wote huo nimekuwa nikishangazwa
na wingi wa wanaume wanaokuja kwangu kutafuta tiba ya nguvu za kiume na
kuongeza ukubwa wa uume. Ni kweli nahitaji fedha wanazoleta wanaume hao lakini pia
nilikuwa nahitaji jibu la swali langu kwanini wanaume wanapata matatizo haya?.Siku
moja nilipata mteja mmoja baba mwenye umri wa miaka 48 na alikuja kwangu baada
ya kunisikia redioni.Baba huyo alikuja kwangu akiwa na tatizo la nguvu za kiume
na alinifurahisha pale aliposema kuwa mke wake ni mganga wa kienyeji na alikuwa
anashangaa kuona vijana wadogo wakija kwa mke wake kutafuta tiba wakati mke
wake ameshidwa kumsaidia kwa tatizo hili hilo.Mke wake alifaidika kiuchumi
lakini hawezi kuwa faida kwa jamii kwa mtido huo.
Toka
nianzishe ofisi yangu ya CLINIC YA AFYA YA MAPENZI nimeshuhudia watu wenye umri
kuanzia 17 hadi 80 wenye tatizo la nguvu za kiume .Muda huo wote nimekuwa
nikifanya utafiti na nikakutana na taarifa ilionionyesha kuwa sio Watanzania pekee
wanaohangaika na jambo hilo. Profesa Skakkebaek wa Chuo Kikuu cha Copenhagen
huko Denmark anasema kuwa upo ushahidi wa kutosha kuwa kwa miaka 50 iliopita
matatizo ya nguvu za kiume na madhaifu mengine ya viungo vya uzazi vimeongezeka
sana.
Utafiti
uliofanywa mwaka 2003 na shirika la ENVIRONMENTAL RESEARCH unaonyesha kuwa
kiasi kidogo cha kemikali ya FLUORIDE iliomo kwenye dawa nyingi za mswaki ina
uwezo wa kupunguza kiwango cha kichocheo cha TESTOSTERONE ambacho ni muhimu kwa
nguvu za kiume na hamu ya tendo la ndoa. TESTOSTERONE ikipungua na nguvu za
kiume zinapungua na sio hilo tu kwa vijana wanaokuwa wanaweza wakajikuta wana
uume mdogo ,wanachelewa kutoka ndevu na sauti zao kuelekea sauti za kike. Hayo
yote ni madhara ya FLUORIDE unayomeza wakati unapiga mswaki.Japokuwa ni kiasi
kidogo lakini bado kinaleta athari mbaya ya tatizo la nguvu za kiume.
Kaka
mmoja ambaye aliathiriwa na dawa zenye FLUORIDE alifanya utafiti binafsi na
akagundua kuwa hata yule muuaji mkubwa duniani ADOLF HITLER aliweka FLUORIDE
kwenye maji ya kunywa kwani alijua inawafanya wanaume wawe wapole na wepesi
kukubali kutawaliwa na kutii amri wanazopewa.
Kaka
huyo pia alikutana na tafiti inayoonyesha kuwa FLUORIDE inahusika katika
kuwafanya wanaume wawe mashoga. Wazazi mnaowahimiza watoto wenu kupiga mswaki
sasa ni wakati wa kuangalia upya tabia hii ya usafi.
Njia
mbadala na dawa za mswaki tulizozoea na kutumia chumvi itokayo baharini. Uweke
chumvi kwenye maji kidogo kisha chovya mswaki wako na tumia hiyo. Lingine ni
kutumia BAKING SODA .( dawa itumikayo katika upikaji wa maandazi)Kutumia Baking
soda ni kwa kuloweka mswaki wako kwenye baking soda na kutoa na kuupigia mswaki huo
kama kawaida ya upigaji wa mswaki.Ni kweli ulizoea dawa za kawaida
zinazopigiwa debe sana lakini ukiona hatari iliopo utaweza kuzoea njia hiii
salama kabisa.