DALILI
ZA MWANAUME ALIYE MTAMU KITANDANI
Dalili
ni kitu muhimu sana kinachoweza
kukusaidia kufanya uamuzi sahihi au uchaguzi sahihi na kuepuka matatizo au
majuto ya mbeleni.Waimbaji wa bendi ya WEST LIFE wana wimbo mmoja usemao, I AM
A FOOL AGAIN”, katika wimbo huo mwimbaji anajilaumu na kujiita mpumbavu baada
ya kuona kuwa alipuuzia dalili za kutofaa za mpenzi wake aliemtenda mambo mabaya.NATAKA
yasikukute mambo mabaya na ufurahie mahaba kama ninavyofurahia mimi na mpenzi
wangu WITNESS.Ngoja nikuonyeshe umuhimu wa dalili;ukiwa umeishi na watu wa
kabila la WACHAGA au WAHAYA ni rahisi
sana kujua lafudhi yao na kuizoea kiasi kwamba ukikutana na mtu ambae hujui
kabila yake lakini akaongea Kiswahili kwa lafudhi ya KICHAGA AU KIHAYA utajua
kwa hakika kuwa huyo dada au kaka ni wakabila Fulani kati ya hayo.Kadhalika
katika kugundua mwanaume alie mtamu lazima uweze kujua daili zake.Dalili hizi
zimegunduliwa baada ya wanawake ambao wameshawahi kufanya mapenzi na wanaume
zaidi ya 10 kuweza kuona mambo yanayofanan katika wanaume ambao walikuwa watamu
sana kitandani.
Ndugu yangu napenda nikwambie kuwa
ukipata mwanaume ambaye hawezi kukuridhisha katika tendo la ndoa ni kosa lako
mwenyewe. Huhitaji uchawi kuweza kutambua mwanaume mwenye uwezo wa kukupa raha
inayoamriwa katika Biblia kitabu cha KUMBUKUMBU LA TORATI SURA YA 24 mstari wa
5. Ni haki uliyepewa na Mwenyezi Mungu na
unapaswa kufaidika nayo kikamilifu. Tatizo ni kwamba wanawake wengi
hawajui maumivu ya kuwa na mwanaume aliye kama mlemavu wakati wa tendo la ndoa.
Zifuatazo ni dalili za uhakika kabisa za mwanaume aliye mtamu kitandani.
(1) ANAJUA KUTUMIA MACHO YAKE
Mwanaume ambaye anapata shida kukuangalia machoni kwa
muda mrefu ni ishara kuwa hawezi kusimamisha uume kwa muda mrefu na vile vile
atakuwa anamaliza haja yake ndani ya dakika 5 na kukuacha wewe unataka aendelea
zaidi hadi angalau zifike dakika 15.
Unapoachwa katika hali ya kutotosheka unakuwa na
maumivu moyoni na uchungu wake hauondoki haraka. Moja kati ya njia nzuri ya
kuepuka magonjwa ya moyo na kisukari ni kuwa na mwanaume mtamu kitandani. Kuwa
makini wakati wa maongezi ya kawaida kuangalia iwapo atakuwa anajitahidi
kukuangalia usoni kwa muda mrefu na asiwe mwepesi wa kukwepesha macho yake
yakutanapo na macho yako. Wapo wanawake wengi ambao wameanzisha mahusiano na
wanaume lakini baada ya muda fulani wakaona kuwa wanaume hao hawawezi
kuwafikisha kileleni mara kwa mara na hivyo kuanza kufanya vituko na kuachana
nao na kutafuta wengine .Usiwe mmoja kati ya hao.
(2) TABASAMU LA UKWELI
Watu wengi hawatambui siri za maisha yaliofurika furaha
na hivyo huchukulia mambo mengi juu juu tu. Iwapo mwanaume unayedhania kuwa
atakuletea furaha maishani mwako hana tabasamu la ukweli tambua kuwa umekutana
na msanii wa kimapenzi. Penzi huja haraka na pia kutoweka haraka kwa mwanaume
ambaye tabasamu lake linangojea mwisho wa mwezi.. Iwapo mwanaume huyo
anatabasamu kwa kutumia midomo yake (lips) zaidi ya kutumia macho yake ni
mwanaume feki mwenye uwezo mkubwa wa kukutumia bila kujali haja na hisia zako.
Ukweli huu unatokana na kwamba wanyama hasa wanyama wakali ambao hutumia midomo yao kufanya ukatili wa
kuwararua na kuwaua wanyama wengine. Unataka kuraruriwa? Kuwa na mwanaume
mwenye tabasamu la bandia. Mwanaume huyo utafanya nae tendo la ndoa mara nyingi
lakini hatajali kabisa kama umefika kileleni au umo ndani ya handaki.
Anakutumia na kukuacha hivyo hivyo kama machangudoa na makahaba wanavyofanyiwa.Mwanaume
mwenye tabasamu la kweli na la mara kwa
mara anakupa ishara kuwa atathamini raha yako kwa kuwa anathamini umuhimu wa
kuwa na raha.Kwa mwanaume wa aina hii raha yako ndio raha yake.FUNGUA MACHO
UJIONEE siri za utamu.
(3) MWENYE UVUMILIVU
MWANAUME WA UKWELI HANA HARAKA na waswahyili wamesema “Haraka haraka haina
mbaraka” Lazima atakuwa mtu mwenye uwezo wa kuendelea kukubembeleza,
kukupapasa, kukulambalamba, na kuwa na uwezo mkubwa katika nguvu za kiume na
kujichelewesha asimalize kabla yako. Utaona dalili za uvumilivu wake katika
mabusu ya polepole na hata anapotafuna chakula huenda polepole na kwa muda
mrefu kabla ya kumeza.Utaona hakasiriki kwa haraka pale unapochelewa kufanya
jambo Fulani na ni mwepesi kukuambia ,”usijali mpenzi” pale unapokosea na
kuanza kuomba radhi.
(4) ANAJALI HISIA ZAKO
Mwanaume ambae ana uwezo wa kukupa utamu utakaokufanya
uimbe “ooh baby, kuchi kuchi aaah” atakuwa mwanaume ambaye anajali hisisa zako
kikamilifu. Njia nzuri ya kujua hilo ni pale unaona anakusikiliza kwa makini
pale unapozungumzia mambo yako bila kujali ni ya kazini kwako au shoga wako wa kike
amekukwaza. Mwanaume ambaye anaweza kusikiliza maneno yako bila kukukatisha au
kukufanya mjinga ni mwanaume mtoa raha na sio mtumiaji tu. Mshikilie na utapata
utamu zaidi na kuishi kwa muda mrefu bila maradhi kukusumbua.
(5) ANAJUA KUKUSHIKA
Mwanaume ambae anauthamini mwili wako wote na sio uchi
wako ni mwanaume wa ukweli. Anajitahidi kupata nafasi ya kugusa mwili wako.
Mkitembea barabarani atakushika mkono na mara moja moja atakupiga mgongoni au
kukufinya ubavuni kimahaba. Angalia mfano huu toka maisha yangu mwenyewe itakusaidia
kuona umuhimu wa jambo hilo kwako na kwa mpenzi wako. Baada ya kuanza uhusiano
na mpenzi wangu Witty ambaye baadae akawa mke wangu nilijikuta nafurahia
kumgusagusa sana mpenzi wangu huyo. Wiki mbili za mwanzoni mwa uhusiano wetu
sikuweza kujitolea kumpeleka kazini kwa gari yangu lakini tulipoanza
kushirikiana tendo la ndoa nikaanza kufanya hivyo japokuwa ofisini kwake
kulikuwa mbali sana na ofisini. Wakati naendesha gari mkono wangu wa kushoto
umekuwa ukifanya kazi ya kushika mapaja yake na kuyaminyaminya huku namwambia
nakupenda mpenzi wangu. Ulipita mwezi nikiwa nikifanya hivyo kabla ya kuoana. Katika
zoezi hilo la kugusana gusana utamu uliongezeka pale tulipofika eneo lenye
msongamano wa magari kwani nilifanya zaidi ya hayo. Siku moja usiku tukiwa
tunarudi nyumbani toka hotelini tulipokula tunda la katikati ya bustani mpenzi
wangu nae akaanza kunishikashika kwa mtindo ule ule nanilion rah asana.Na sikuchelewa
kumwambia kuwa nafurahia jambo hilo kwani hakuna mwanamke ambae alishawahi
nifanyia hilo. Baada ya kusema hayo nae akasema, kweli Nelly haipendezi kukaa
na wewe kama nimekaa na Tax Driver.
(6) NI MPELELEZI
Mwanamke anaetaka kufurahia penzi atakalopata kwa muda
mrefu lazima awe makini sana katika uchaguzi wake wa mpenzi wa kimahaba ,umakini
huo unaanzia katika kumsikiliza vizuri pale anapoongea. Iwapo mwanaume ulienae
anapenda kukuuliza maswali yahusuyo maisha yako basi tambua ya kuwa ni mwanaume
ambaye anataka afahamu undani wako ili atafute njia ya kukufurahisha kikamilifu
sawa na agizo la Mungu katika Biblia kitabu cha KUMBUKUMBU LA TORATI 24:5.
Uonapo kuwa ni mpelelezi wa maisha yako muwapo mbali na kitanda basi muingiapo
chumbani atajitahidi kukutanguliza wewe ufike kileleni kabla yake. Lakini
uonapo mwanaume hakupi nafasi ya wewe kuongelea mambo yako tambua ya kuwa
mwanaume huyo hana tofauti na mbu, atakunyonya damu na kukuacha na ugonjwa wa
kusononeka moyoni mwako.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni