SAYANSI
YA NGUVU ZA KIUME.
Wanaume wengi
wangetamani kuwa kutabirika kwa upumuaji wa hewa kungekuwa sawa na kuwa na
nguvu za kiume za kutosha, yaani muda wowote ule uwe na uwezo wa kuwa na nguvu
za kiume za kutosha kumfurahisha mwanamke yoyote yule. Kutokana na kutokutabirika kwa nguvu za kiume
wanaume wengi wanaishi na huzuni na maumivu mengi jambo ambalo wanawake
hawalijui uzitom wake. Sambamba na
tatizo hilo kama vile kwenye mzoga wa ng’ombe lazima kunguru watajazana,
waganga wengi wanapiga kelele kuwa wanao uwezo wa kuponya kabisa tatizo hilo
wakati hawajui kabisa bailojia ya tatizo hilo.
Baba mmoja alienisikia redioni mke wake alikuwa mganga wa kienyeji na
alikuwa anashangaa kuona vijana wengi wanaenda kwa mke wake kutafuta tiba ya
nguvu za kiume. Baba huyo yeye mwenyewe
alikuwa anasumbuliwa na tatizo hilo kwa muda mrefu na mke wake alishindwa
kumtibu. Kwa bahati nzuri mtu ambae
alinisikiliza redion na kuja kupata tiba iliomuondolea aibu hiyo alimpa habari
yangu na akashawishika kunisikiliza yeye mwenyewe. Alidhamiria kuliondoa na
tatizo na alinisikiliza RADIO FREE AFRICA na aliposikia maelezo yangu redioni
akajua tiba ninayozungumzia ni ya kweli na kufunga safari kunifuata,ilipita
wiki 2 alinipigia simu na niliongea nae
yeye na mke wake na wote walinishukuru.
Ili usiendelee kudanganywa leo nataka ujifunze sayansi ya nguvu zako za
kiume.
Unakuwa na tatizo la
nguvu za kiume pale ambapo unashindwa kusimamisha uume kwa muda mrefu, au kuwa
na uume unaosimama kiulegelege (wanawake wengi wanaita uume tepete). Uume ni kiungo pekee katika mwili wa mwanaume
ambacho kina uwezo wa kujaa damu kwa kasi kubwa na damu hiyo ikakaa kwa muda fulani
na baadae kutoka yenyewe. Kwa uume
kusimama nyakati za asubuhi ni jambo la kawaida kwa mwanaume na uonapo hali hiyo
imepotea tambua kuwa umeingia katika tatizo la nguvu za kiume na iwapo uume
wako unasimama nyakati za asubuhi lakini mara nyingi unapokuwa unataka
kushiriki tendo la ndoa unahangaika kufanya uume usimame, basi tatizo lako sio
la nguvu za kiume ni la kisaikolojia. Ninaposema
la kisaikolojia namaanisha kuwa pale unapokuwa na mwanamke na ukawa na wasiwasi
wa aina yoyote ile, nguvu zako badala ya kwenda kwenye uume zinakimbilia
miguuni. Zinakimbilia miguuni kwa kuwa
ubongo wetu umeumbwa kutafsiri wasiwasi wowote ule kama hatari bila kujali ni
wasiwasi wa kuogopa kitu kikubwa kama kugongwa na gari au kuogopa
kuaibika. Uume unapoanza kupata uvivu wa
kusimama asubuhi ni dalili kuwa tatizo limeingia katika mwili wako na kwa kadri
unavyoliachia ndivyo linavyoendelea kuwa tatizo kubwa zaidi.
Watu wengi wameliwa
fedha zao na wajanja wanaojiita wataalamu wa tiba bandia kwa kuambiwa
wanahitaji wachukuliwe vipimo kabla ya kupewa tiba ya upungufu wa nguvu za
kime. Watatoa pesa ya vipimo na pesa ya
tiba bandia pia bila mafanikio yoyote ile.
Katika Clinic yangu ya afya ya Mapenzi katika miako hii 11 nimekutana na
wengi waliotapeliwa kwa mtindo huo na watu wenye sura maarufu sana. Ukweli ni kwamba huhitaji vipimo iwapo una
tatizo la nguvu za kiume au tatizo la kuwahi kumaliza. Kusimama kwa uume inatokea hivi, ujumbe toka
kwenye ubongo unaagiza eneo la uume liitwalo CORPORA CAVERNOSA kulegea na damu
kujaza eneo hilo lenye vyumba vidogo vidogo vyenye uwezo wa kuvimba vinapojaa
damu na kusinyaa damu hiyo inapotoka. Kuvimba
kwa kwa sehemu hizo ndiko kunakofanya uume usimame na mwanaume akasema amepata
nguvu za kiume. Kwenye kila kijimfuko
cha eneo hilo kuna utando wa nyama unaofanya kazi ya kuzuia damu isitoke na
hivyo uume kusimama kwa muda mrefu, utando huo unaitwa TUNICA ALBUGINEA.
Utafiti uliofanyika kwa
muda mrefu unaonyesha kuwa iwapo mtu ataweza kufanya mazoezi maaumu ya misuli
inayohusika na nguvu uume ataweza kuongezea umakini wa mishipa ya fahamu na
mzunguuko wa damu.Wewe mwenyewe ni shahidi kuwa watu wanaofanya mazoezi ya
viungo wanakuwa na misuli yenye kuwawezesha kuinua vyuma vizito sana. Dawa
ninayoitoa mimi ya PRIKA inaambatana na mazoezi maalumu ambayo mwanaume
atafanya akiwa amekaa kwenye kiti au kitanda au sehemu yoyote nzuri baada ya
zoezi hilo unalamba dawa hiyo ilio katika mfumo wa unga na dawa hiyo itaenda na
kushughulikia maeneo ya mishipa fahamu,mishipa ya damu na misuli inayohusika na
tatizo la nguvu uume na kuwahi kumaliza. Ninao ushahidi wa watu wengi toka 2006
na ushahidi wa hivi karibuni ni wa kaka ambae baada ya kutumia dawa hiyo na
kujiona ni bingwa wa tendo la ndoa alijisahau na kupuuzia kutumia kinga na
akaambukizwa ugonjwa wa zinaa.Kaka huyo alinipigia simu kuniambia kuwa katika
jarida la maelekezo ya dawa yangu ya PRIKA niweke maelezo ya tahadhari kuwa ni
muhimu mtu anapopona awe mwangalifu kupima afya ya mtu anaeshirikiana na e
katika tendo la ndoa. TUWASILIANE kwa
namba 0754 039994 au kwa barua pepe kimapenzi@yahoo.com.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni