KUTANA NA DR PAUL NELSON
DR. PAUL NELSON amekuwa akiendesha vipindi Radio FREE AFRICA kwa miaka 11 sasa, na vipindi vyake vya JUMATANO NA Ijumaa saa tano usiku vimewanufaisha wengi sana. Clinic yake ya Afya ya mapenzi ipo jijin Mwanza katka jengo la NYANZA barabara ya Kenyatta.
Katika umri wake wa miaka 54 amekutana na kesi nyingi za kimapenzi na hivyo kufahamu changamoto nyigi wanazokutana wapendanao .Kutokana na sheria mpya ya mitandao hapa nchini ameshindwa kuweka kila kitu kinacho weza kukusaidia katika mahusiano yako kama vile jinsi mwanamke anavyoweza kumsaidia mumewe kufurahia zaidi tendo la ndoa, na hasa kumsaidia mwanaume apate urahisi wa kurudia tendo ndoa,vitu gani mwanaume amfanyie mwanamke ili afike kileleni kwa urahisi, mitindo au mikao ya kutumia wakati wa twendo la ndoa kuzuia kuboreka na mpenzi wako na jisnsi gani ya kurudisha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke na mwanaume pia. ZIPO VIDEO CLIPS zinazoonyesha mambo muhimu ya mke au mume kumfanyia mpenzi wake wakati wa tendo la ndoa ili asiboreke nae na mengine mengi matamu.
Clinic ya Aya ya mapenzi sasa imesajiliwa kama kampuni iitwayo HEALTHY LOVE CLINIC LTD na DR. PAUL NELSON ndiye mkurugenzi wake na hivyo tunalipa kodi kwa maendeleo ya taifa letu. Iwapo utahitaji machapisho hayo maalumu wasiliana na DR. PAUL NELSON moja kwa moja na kila chapisho ni sh 5000 ISIPOKUWA CHAPISHO LA mitindo ya kutumia wakati wa tendo lndoa ni sh 10,000 lina picha za rangi tupu.UNAWEZA KUTUMIWA KWA EMAIL( barua pepe), kwa posta au kwa basi( KWA POSTA UNAOMGEZEA SH 3000 NA KWA BASI SH 5000) MPIGIE KWENYE 0754 039994 AU 0788877604
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
HAMU YA TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE Mwanamke anapojikuta amepoteza hamu ya tendo la ndoa anakuwa mzigo k...
-
DALILI ZA MWANAMKE ALIYE MTAMU KATIKA TENDO LA NDOA (1) MWENDO WAKE Mwanamke ambaye anapotembea kwa mwendo wake anaony...
-
DALILI ZA MWANAUME ALIYE MTAMU KITANDANI Dalili ni kitu muhimu sana kinachoweza kukusaidia kufanya uamuzi sahihi au uchaguzi sahi...
-
DALILI YA MPENZI ASIE MWAMINIFU Ndoa nyingi sana zina vunjika, wapenzi ambao kwa muda mrefu walionekana ...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni