Jumanne, 7 Novemba 2017

UUME HATARINI

                                                   UUME HATARINI

Kila mwanaume halisi lazima ajivunie uume wake na hasa anapofahamu faida yake kubwa aliopewa na mwenyenzi Mungu.Uume ni chanzo kikuu na cha pekee kwa heshima ya mwanaume lakini ukosefu wa ufahamu unaweka uume hatarini sana.Na sio hilo tu bali watu wenye tama ya kujitajirisha bila kujali usalama wa watu wengine nao ni maadui sugu wa heshima hii ya kipekee ya mwanaume. Kwenye dawa za mswaki kama vile kwenye sigara na pombe unatakiwa upewe onyo kali la aina hii:

ONYO:-
“Weka mbali na watoto chini ya miaka 6 iwapo utameza zaidi ya ile inayohitajika kupigia mswaki haraka muone Daktari au kituo chochote cha kuzuia majanga ya sumu.”

Onyo hili linazungumzia kiwango cha madini ya FLUORIDE yaliyomo kwenye dawa za mswaki. FLUORIDE ni sumu mbaya na kiasi kinachoweza kuleta madhara ndicho ambacho ni muhimu kuwa makini nacho. Makampuni yote ya dawa za miswaki wanajua hatari hiyo na hivyo kukuwekea povu lenye ladha nzuri kuficha makali ya sumu hiyo.

Ni kweli sumu hiyo ya FLUORIDE iliomo kwenye  dawa ya mswaki ni ndogo lakini hebu tujiulize; “hivi ni busara kuonja sumu hata kama ni kiasi kidogo?. “ pamoja na sumu hiyo pia ipo nyingine iitwayo SODIUM LAURYL SULPHATE ambayo huleta hisia kama ya kuunguza hivi na ukakasikakasi na mlundikano wa sumu hii nyingine unaweza kuleta matatizo kwenye njia ya chakula.

Huko Marekani shirika la serikali linalohusika na mambo ya usalama wa chakula FDA mwaka 1997 ilitoa ripoti kuwa dawa ya mswaki ya COLGATE kama vile dawa nyingine za mswaki zina madini yaitwayo TRICLOSAN ambayo yana nguvu ya kusababisha ugonjwa wa saratani (CANCER).

Taarifa hiyo ya FDA yenye kurasa 35 imeelezea pia kemikali hiyo ya TRICLOSAN inaweza khatarisha ukuaji wa mimba au kutoka kwa mimba. Na sio hilo tu bali pia kemikali hiyo inawafanya bacteria wawe sugu kwa dawa zenye antibiotics, FDA inaendelea na uchunguzi wake ili kuwasaidia makampuni kutafuta kemikali mbadala. Pamoja na hiyo,  sio faraja kwetu kuona kuwa tunatumia vitu vyenye hatari kwa maisha yetu.

Ndugu yangu amka, uume wako unashambuliwa bila ya wewe kujua. Nimekuwa nikifanya kazi ya ushauri kwa muda wa miaka 8 sasa. hivyo muda wote huo nimekuwa nikishangazwa na wingi wa wanaume wanaokuja kwangu kutafuta tiba ya nguvu za kiume na kuongeza ukubwa wa uume. Ni kweli nahitaji fedha wanazoleta wanaume hao lakini pia nilikuwa nahitaji jibu la swali langu kwanini wanaume wanapata matatizo haya?.Siku moja nilipata mteja mmoja baba mwenye umri wa miaka 48 na alikuja kwangu baada ya kunisikia redioni.Baba huyo alikuja kwangu akiwa na tatizo la nguvu za kiume na alinifurahisha pale aliposema kuwa mke wake ni mganga wa kienyeji na alikuwa anashangaa kuona vijana wadogo wakija kwa mke wake kutafuta tiba wakati mke wake ameshidwa kumsaidia kwa tatizo hili hilo.Mke wake alifaidika kiuchumi lakini hawezi kuwa faida kwa jamii kwa mtido huo.

Toka nianzishe ofisi yangu ya CLINIC YA AFYA YA MAPENZI nimeshuhudia watu wenye umri kuanzia 17 hadi 80 wenye tatizo la nguvu za kiume .Muda huo wote nimekuwa nikifanya utafiti na nikakutana na taarifa ilionionyesha kuwa sio Watanzania pekee wanaohangaika na jambo hilo. Profesa Skakkebaek wa Chuo Kikuu cha Copenhagen huko Denmark anasema kuwa upo ushahidi wa kutosha kuwa kwa miaka 50 iliopita matatizo ya nguvu za kiume na madhaifu mengine ya viungo vya uzazi vimeongezeka sana.

Utafiti uliofanywa mwaka 2003 na shirika la ENVIRONMENTAL RESEARCH unaonyesha kuwa kiasi kidogo cha kemikali ya FLUORIDE iliomo kwenye dawa nyingi za mswaki ina uwezo wa kupunguza kiwango cha kichocheo cha TESTOSTERONE ambacho ni muhimu kwa nguvu za kiume na hamu ya tendo la ndoa. TESTOSTERONE ikipungua na nguvu za kiume zinapungua na sio hilo tu kwa vijana wanaokuwa wanaweza wakajikuta wana uume mdogo ,wanachelewa kutoka ndevu na sauti zao kuelekea sauti za kike. Hayo yote ni madhara ya FLUORIDE unayomeza wakati unapiga mswaki.Japokuwa ni kiasi kidogo lakini bado kinaleta athari mbaya ya tatizo la nguvu za kiume.

Kaka mmoja ambaye aliathiriwa na dawa zenye FLUORIDE alifanya utafiti binafsi na akagundua kuwa hata yule muuaji mkubwa duniani ADOLF HITLER aliweka FLUORIDE kwenye maji ya kunywa kwani alijua inawafanya wanaume wawe wapole na wepesi kukubali kutawaliwa na kutii amri wanazopewa.

Kaka huyo pia alikutana na tafiti inayoonyesha kuwa FLUORIDE inahusika katika kuwafanya wanaume wawe mashoga. Wazazi mnaowahimiza watoto wenu kupiga mswaki sasa ni wakati wa kuangalia upya tabia hii ya usafi.

Njia mbadala na dawa za mswaki tulizozoea na kutumia chumvi itokayo baharini. Uweke chumvi kwenye maji kidogo kisha chovya mswaki wako na tumia hiyo. Lingine ni kutumia BAKING SODA .( dawa itumikayo katika upikaji wa maandazi)Kutumia Baking soda ni kwa kuloweka mswaki wako kwenye baking soda  na kutoa na kuupigia mswaki huo kama kawaida ya upigaji wa mswaki.Ni kweli ulizoea dawa za kawaida zinazopigiwa debe sana lakini ukiona hatari iliopo utaweza kuzoea njia hiii salama  kabisa.

ATHARI ZA KUANGALIA PICHA ZA NGONO

ATHARI ZA KUANGALIA PICHA ZA NGONO

Wanadam tumeumbwa na kiu ya kutafuta burudani za aina mbali mbali mbali ndoo maana wasanii wa muziki na sinema wanatajirika sana.Picha za kuangalia watu wanaoshiriki tendo la ndoa zimekuwa nyingi sana na kuwavuta wengi bila kujua madhara ya kuangalia picha hizo.Pale mtu anapoangalia picha za ngono pole pole ataanza kuzoea na kupendelea mitindo na mambo yanayofanywa katika picha hizo na hata mambo ambayo alikuwa hayapendi atajikuta ameanza kuyapenda. Utafiti mmoja umeonyesha kuwa kuna watu ambao baada ya kuzoea picha za kawaida wakajikuta wameanza kutamani kufanya mapenzi na wanyama. Mimi mwenyewe nimeshuhudia hilo baada ya mama mmoja kunipigia simu kuwa mume wake ameanza kufanya mapenzi na wanyama. Hivyo inatokana na kwamba pale mtu anapoangalia kitu kwa muda mrefu inafikia hatua akili yake inakiona kama kitu cha kawaida kwa kuwa walizoe msisimko mkubwa wa mwanzonii na sasa msisimko h uo unakuwa umepungua baada ya kuangalia picha hizo kwa muda fulani.

        Hatari kubwa kwa watumiaji wa picha za ngono ni kujikuta wamepoteza hamu ya tendo la ndoa katika hali ya kawaida. Jambo lingine ni kuiga mambo ambayo ni machafu sana kwa kuwa katika picha hizo unaona watu wanaonekana kufurahia mambo hayo machafu. Kwa mfano, kesi ya watu kutaka kufanya mapenzi kinyume na maumbile imeongezeka sana kwa wanaume na wanawake. Mbaya zaidi kwa mtu alieangalia picha hizo kwa muda mrefu atapata shida kuendelea kuvutiwa na muonakano wa mpenzi alie nae kwa muda mrefu. Kwa maneno mengine itafikia hatua anamuona mke au mume wake anaboa. Utafiti uliofuatilia ndoa 200 toka 2006 hadi 2012 ulithibitisha kuwa katika ndoa ambapo mwanaume anaangalia picha za ngono mara 1 au zaidi kwa siku zinakuwa na migogoro mingi zikilinganishwa na zile zisizokuwa na tatizo hilo. Katika ndoa zenye tatizo hilo kosa dogo lilileta migogoro mikubwa, kulaumiana kwingi, kutoelewana  kwingi na kuleta makosa ya zamani kumkandamiza mwingine.

        Mwanamke au mwanaume anaeangalia picha hizo za ngono atalinganisha mambo anayofanyiwa na mke wake na yale anayoyaona katika picha hizo na lazima mpenzi wake ataonekana kuwa na mapungufu katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya mitindo anayotumia, ukubwa au upana na urefu wa maumbile, nguvu au kasi ya utendaji na utundu mwingine katika kucheza ngoma ya wakubwa. Kwa kuwa lazima mmoja ataonekana na mapungufu na yule anaeona mapungufu hayo atakosa ujasiri wa kumuambia mwenzie na hivyo mvuto na hisia kupungua. Hisia zinapopungua na hali hiyo kujirudia rudia chuki inaanza kurudi kwa pole pole na penzi kunyauka. Ukweli wa jambo hilo ulionekana katika utafiti miongoni mwa makahaba ambapo asilimia 80 ya makahaba walishuhudia wateja wao kuwaonyesha mitindo toka kwenye picha za ngono, mitindo ambayo wateja hao walitaka kuitumia katika kucheza ngoma ya wakubwa na makahaba hao.

        Watu wanaoiga mambo wanayoyaona kwenye picha za ngono hawajui kuwa wengi wa wahusika wamelazimishwa kushiriki picha hizo, na haikuwa hiyari yao kufanya hivyo. Kutokana na kutokujua hilo wengine wanashangaa kuona wapenzi hawapo tayari kujaribu mambo mapya yanayopendekezwa na wapenzi wao na hivyo kuleta mvutano kati yao. Kutokana na hali hiyo tafiti nyingi zimeonyesha wazi kuwa watu walioangalia picha za ngono ndoa zao zinakosa furaha na nyingine kuvunjika. Naweza kusema kuwa kuvunjika kwingi kwa mahusiano kabla ya ndoa yanasababishwa na hali hiyo.

        Mbaya zaidi kuliko zote ni kwamba uangaliaji wa picha za ngono kunachangia katika kupunguza nguvu za kiume kwa wanaume wengi, na kwa wanawake zinachangia kupunguza hamu ya tendo la ndoa. Mtu anapokumbatiwa, kupigwa mabusu mengi au kufanya tendo la ndoa na mtu mwingine kuna kiasi fulani cha kichocheo cha DOPAMINE kinacho miminwa kwenye ubongo kupitia mzunguko wa damu na kumfanya mtu afurahie tendo la ndoa. Ila kiasi hicho kikizidi kipimo alichopanga muumbaji wetu inasababisha matatizo . Mtu anapoangalia picha za ngono yanatokea mafuriko ya kichocheo hicho cha DOPAMINE na inasababisha vipokeaji vya hisia katika mishipa ya fahamu (Receptors) kushindwa kufanya kazi na kuwa butu. Japokuwa ubongo utaendelea kuleta kichocheo cha hisia tamu cha DOPAMINE mtu anashindwa kupata msisimko na hivyo kushindwa kuwa na nguvu za kiume za kutosha, na kwa mwanamke kutokuwa na hisia hata mwanaume ajitahidi vipi kumwandaa.

Hapo unaweza kuona jinsi ndoa inavyoweza kuvunjika, mwanaume hana nguvu za kutosha na mwanamke ana hamu lakini mwanaume hana ujanja, inaleta mvutano. Au

Ijumaa, 3 Novemba 2017

SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME

SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME.

Wanaume wengi wangetamani kuwa kutabirika kwa upumuaji wa hewa kungekuwa sawa na kuwa na nguvu za kiume za kutosha, yaani muda wowote ule uwe na uwezo wa kuwa na nguvu za kiume za kutosha kumfurahisha mwanamke yoyote yule.  Kutokana na kutokutabirika kwa nguvu za kiume wanaume wengi wanaishi na huzuni na maumivu mengi jambo ambalo wanawake hawalijui uzitom wake.  Sambamba na tatizo hilo kama vile kwenye mzoga wa ng’ombe lazima kunguru watajazana, waganga wengi wanapiga kelele kuwa wanao uwezo wa kuponya kabisa tatizo hilo wakati hawajui kabisa bailojia ya tatizo hilo.  Baba mmoja alienisikia redioni mke wake alikuwa mganga wa kienyeji na alikuwa anashangaa kuona vijana wengi wanaenda kwa mke wake kutafuta tiba ya nguvu za kiume.  Baba huyo yeye mwenyewe alikuwa anasumbuliwa na tatizo hilo kwa muda mrefu na mke wake alishindwa kumtibu.  Kwa bahati nzuri mtu ambae alinisikiliza redion na kuja kupata tiba iliomuondolea aibu hiyo alimpa habari yangu na akashawishika kunisikiliza yeye mwenyewe. Alidhamiria kuliondoa na tatizo na alinisikiliza RADIO FREE AFRICA na aliposikia maelezo yangu redioni akajua tiba ninayozungumzia ni ya kweli na kufunga safari kunifuata,ilipita wiki 2 alinipigia simu na niliongea nae  yeye na mke wake na wote walinishukuru.  Ili usiendelee kudanganywa leo nataka ujifunze sayansi ya nguvu zako za kiume.
Unakuwa na tatizo la nguvu za kiume pale ambapo unashindwa kusimamisha uume kwa muda mrefu, au kuwa na uume unaosimama kiulegelege (wanawake wengi wanaita uume tepete).  Uume ni kiungo pekee katika mwili wa mwanaume ambacho kina uwezo wa kujaa damu kwa kasi kubwa na damu hiyo ikakaa kwa muda fulani na baadae kutoka yenyewe.  Kwa uume kusimama nyakati za asubuhi ni jambo la kawaida kwa mwanaume na uonapo hali hiyo imepotea tambua kuwa umeingia katika tatizo la nguvu za kiume na iwapo uume wako unasimama nyakati za asubuhi lakini mara nyingi unapokuwa unataka kushiriki tendo la ndoa unahangaika kufanya uume usimame, basi tatizo lako sio la nguvu za kiume ni la kisaikolojia.  Ninaposema la kisaikolojia namaanisha kuwa pale unapokuwa na mwanamke na ukawa na wasiwasi wa aina yoyote ile, nguvu zako badala ya kwenda kwenye uume zinakimbilia miguuni.  Zinakimbilia miguuni kwa kuwa ubongo wetu umeumbwa kutafsiri wasiwasi wowote ule kama hatari bila kujali ni wasiwasi wa kuogopa kitu kikubwa kama kugongwa na gari au kuogopa kuaibika.  Uume unapoanza kupata uvivu wa kusimama asubuhi ni dalili kuwa tatizo limeingia katika mwili wako na kwa kadri unavyoliachia ndivyo linavyoendelea kuwa tatizo kubwa zaidi.
Watu wengi wameliwa fedha zao na wajanja wanaojiita wataalamu wa tiba bandia kwa kuambiwa wanahitaji wachukuliwe vipimo kabla ya kupewa tiba ya upungufu wa nguvu za kime.  Watatoa pesa ya vipimo na pesa ya tiba bandia pia bila mafanikio yoyote ile.  Katika Clinic yangu ya afya ya Mapenzi katika miako hii 11 nimekutana na wengi waliotapeliwa kwa mtindo huo na watu wenye sura maarufu sana.  Ukweli ni kwamba huhitaji vipimo iwapo una tatizo la nguvu za kiume au tatizo la kuwahi kumaliza.  Kusimama kwa uume inatokea hivi, ujumbe toka kwenye ubongo unaagiza eneo la uume liitwalo CORPORA CAVERNOSA kulegea na damu kujaza eneo hilo lenye vyumba vidogo vidogo vyenye uwezo wa kuvimba vinapojaa damu na kusinyaa damu hiyo inapotoka.  Kuvimba kwa kwa sehemu hizo ndiko kunakofanya uume usimame na mwanaume akasema amepata nguvu za kiume.  Kwenye kila kijimfuko cha eneo hilo kuna utando wa nyama unaofanya kazi ya kuzuia damu isitoke na hivyo uume kusimama kwa muda mrefu, utando huo unaitwa TUNICA ALBUGINEA.
Utafiti uliofanyika kwa muda mrefu unaonyesha kuwa iwapo mtu ataweza kufanya mazoezi maaumu ya misuli inayohusika na nguvu uume ataweza kuongezea umakini wa mishipa ya fahamu na mzunguuko wa damu.Wewe mwenyewe ni shahidi kuwa watu wanaofanya mazoezi ya viungo wanakuwa na misuli yenye kuwawezesha kuinua vyuma vizito sana. Dawa ninayoitoa mimi ya PRIKA inaambatana na mazoezi maalumu ambayo mwanaume atafanya akiwa amekaa kwenye kiti au kitanda au sehemu yoyote nzuri baada ya zoezi hilo unalamba dawa hiyo ilio katika mfumo wa unga na dawa hiyo itaenda na kushughulikia maeneo ya mishipa fahamu,mishipa ya damu na misuli inayohusika na tatizo la nguvu uume na kuwahi kumaliza. Ninao ushahidi wa watu wengi toka 2006 na ushahidi wa hivi karibuni ni wa kaka ambae baada ya kutumia dawa hiyo na kujiona ni bingwa wa tendo la ndoa alijisahau na kupuuzia kutumia kinga na akaambukizwa ugonjwa wa zinaa.Kaka huyo alinipigia simu kuniambia kuwa katika jarida la maelekezo ya dawa yangu ya PRIKA niweke maelezo ya tahadhari kuwa ni muhimu mtu anapopona awe mwangalifu kupima afya ya mtu anaeshirikiana na e katika tendo la ndoa. TUWASILIANE  kwa namba 0754 039994 au kwa barua pepe kimapenzi@yahoo.com.

Alhamisi, 2 Novemba 2017

ATHARI ZA KUANGALIA PICHA ZA NGONO

ATHARI ZA KUANGALIA PICHA ZA NGONO

Pale mtu anapoangalia picha za ngono pole pole ataanza kuzoea na kupendelea mitindo na mambo yanayofanywa katika picha hizo na hata mambo ambayo alikuwa hayapendi atajikuta ameanza kuyapenda. Utafiti mmoja umeonyesha kuwa kuna watu ambao baada ya kuzoea picha za kawaida wakajikuta wameanza kutamani kufanya mapenzi na wanyama. Mimi mwenyewe nimeshuhudia hilo baada ya mama mmoja kunipigia simu kuwa mume wake ameanza kufanya mapenzi na wanyama. Hivyo inatokana na kwamba pale mtu anapoangalia kitu kwa muda mrefu inafikia hatua akili yake inakiona kama kitu cha kawaida kwa kuwa walizoe msisimko mkubwa wa mwanzonii na sasa msisimko h uo unakuwa umepungua baada ya kuangalia picha hizo kwa muda fulani.

        Hatari kubwa kwa watumiaji wa picha za ngono ni kujikuta wamepoteza hamu ya tendo la ndoa katika hali ya kawaida. Jambo lingine ni kuiga mambo ambayo ni machafu sana kwa kuwa katika picha hizo unaona watu wanaonekana kufurahia mambo hayo machafu. Kwa mfano, kesi ya watu kutaka kufanya mapenzi kinyume na maumbile imeongezeka sana kwa wanaume na wanawake. Mbaya zaidi kwa mtu alieangalia picha hizo kwa muda mrefu atapata shida kuendelea kuvutiwa na muonakano wa mpenzi alie nae kwa muda mrefu. Kwa maneno mengine itafikia hatua anamuona mke au mume wake anaboa. Utafiti uliofuatilia ndoa 200 toka 2006 hadi 2012 ulithibitisha kuwa katika ndoa ambapo mwanaume anaangalia picha za ngono mara 1 au zaidi kwa siku zinakuwa na migogoro mingi zikilinganishwa na zile zisizokuwa na tatizo hilo. Katika ndoa zenye tatizo hilo kosa dogo lilileta migogoro mikubwa, kulaumiana kwingi, kutoelewana  kwingi na kuleta makosa ya zamani kumkandamiza mwingine.

        Mwanamke au mwanaume anaeangalia picha hizo za ngono atalinganisha mambo anayofanyiwa na mke wake na yale anayoyaona katika picha hizo na lazima mpenzi wake ataonekana kuwa na mapungufu katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya mitindo anayotumia, ukubwa au upana na urefu wa maumbile, nguvu au kasi ya utendaji na utundu mwingine katika kucheza ngoma ya wakubwa. Kwa kuwa lazima mmoja ataonekana na mapungufu na yule anaeona mapungufu hayo atakosa ujasiri wa kumuambia mwenzie na hivyo mvuto na hisia kupungua. Hisia zinapopungua na hali hiyo kujirudia rudia chuki inaanza kurudi kwa pole pole na penzi kunyauka. Ukweli wa jambo hilo ulionekana katika utafiti miongoni mwa makahaba ambapo asilimia 80 ya makahaba walishuhudia wateja wao kuwaonyesha mitindo toka kwenye picha za ngono, mitindo ambayo wateja hao walitaka kuitumia katika kucheza ngoma ya wakubwa na makahaba hao.

        Watu wanaoiga mambo wanayoyaona kwenye picha za ngono hawajui kuwa wengi wa wahusika wamelazimishwa kushiriki picha hizo, na haikuwa hiyari yao kufanya hivyo. Kutokana na kutokujua hilo wengine wanashangaa kuona wapenzi hawapo tayari kujaribu mambo mapya yanayopendekezwa na wapenzi wao na hivyo kuleta mvutano kati yao. Kutokana na hali hiyo tafiti nyingi zimeonyesha wazi kuwa watu walioangalia picha za ngono ndoa zao zinakosa furaha na nyingine kuvunjika. Naweza kusema kuwa kuvunjika kwingi kwa mahusiano kabla ya ndoa yanasababishwa na hali hiyo.

        Mbaya zaidi kuliko zote ni kwamba uangaliaji wa picha za ngono kunachangia katika kupunguza nguvu za kiume kwa wanaume wengi, na kwa wanawake zinachangia kupunguza hamu ya tendo la ndoa. Mtu anapokumbatiwa, kupigwa mabusu mengi au kufanya tendo la ndoa na mtu mwingine kuna kiasi fulani cha kichocheo cha DOPAMINE kinacho miminwa kwenye ubongo kupitia mzunguko wa damu na kumfanya mtu afurahie tendo la ndoa. Ila kiasi hicho kikizidi kipimo alichopanga muumbaji wetu inasababisha matatizo . Mtu anapoangalia picha za ngono yanatokea mafuriko ya kichocheo hicho cha DOPAMINE na inasababisha vipokeaji vya hisia katika mishipa ya fahamu (Receptors) kushindwa kufanya kazi na kuwa butu. Japokuwa ubongo utaendelea kuleta kichocheo cha hisia tamu cha DOPAMINE mtu anashindwa kupata msisimko na hivyo kushindwa kuwa na nguvu za kiume za kutosha, na kwa mwanamke kutokuwa na hisia hata mwanaume ajitahidi vipi kumwandaa.

Hapo unaweza kuona jinsi ndoa inavyoweza kuvunjika, mwanaume hana nguvu za kutosha na mwanamke ana hamu lakini mwanaume hana ujanja, inaleta mvutano. Au kwa upande mwingine mwanaume ana nguvu na hamu lakini mwanamke hana hamu au hajisikii raha yoyote na atalichukia tendon a kuleta migogoro.

                                    HAMU YA TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE  Mwanamke anapojikuta amepoteza hamu ya tendo la ndoa anakuwa mzigo k...