Jumanne, 7 Novemba 2017

UUME HATARINI

                                                   UUME HATARINI



Kila mwanaume halisi lazima ajivunie uume wake na hasa anapofahamu faida yake kubwa aliopewa na mwenyenzi Mungu.Uume ni chanzo kikuu na cha pekee kwa heshima ya mwanaume lakini ukosefu wa ufahamu unaweka uume hatarini sana.Na sio hilo tu bali watu wenye tama ya kujitajirisha bila kujali usalama wa watu wengine nao ni maadui sugu wa heshima hii ya kipekee ya mwanaume. Kwenye dawa za mswaki kama vile kwenye sigara na pombe unatakiwa upewe onyo kali la aina hii:

ONYO:-
“Weka mbali na watoto chini ya miaka 6 iwapo utameza zaidi ya ile inayohitajika kupigia mswaki haraka muone Daktari au kituo chochote cha kuzuia majanga ya sumu.”

Onyo hili linazungumzia kiwango cha madini ya FLUORIDE yaliyomo kwenye dawa za mswaki. FLUORIDE ni sumu mbaya na kiasi kinachoweza kuleta madhara ndicho ambacho ni muhimu kuwa makini nacho. Makampuni yote ya dawa za miswaki wanajua hatari hiyo na hivyo kukuwekea povu lenye ladha nzuri kuficha makali ya sumu hiyo.

Ni kweli sumu hiyo ya FLUORIDE iliomo kwenye  dawa ya mswaki ni ndogo lakini hebu tujiulize; “hivi ni busara kuonja sumu hata kama ni kiasi kidogo?. “ pamoja na sumu hiyo pia ipo nyingine iitwayo SODIUM LAURYL SULPHATE ambayo huleta hisia kama ya kuunguza hivi na ukakasikakasi na mlundikano wa sumu hii nyingine unaweza kuleta matatizo kwenye njia ya chakula.

Huko Marekani shirika la serikali linalohusika na mambo ya usalama wa chakula FDA mwaka 1997 ilitoa ripoti kuwa dawa ya mswaki ya COLGATE kama vile dawa nyingine za mswaki zina madini yaitwayo TRICLOSAN ambayo yana nguvu ya kusababisha ugonjwa wa saratani (CANCER).

Taarifa hiyo ya FDA yenye kurasa 35 imeelezea pia kemikali hiyo ya TRICLOSAN inaweza khatarisha ukuaji wa mimba au kutoka kwa mimba. Na sio hilo tu bali pia kemikali hiyo inawafanya bacteria wawe sugu kwa dawa zenye antibiotics, FDA inaendelea na uchunguzi wake ili kuwasaidia makampuni kutafuta kemikali mbadala. Pamoja na hiyo,  sio faraja kwetu kuona kuwa tunatumia vitu vyenye hatari kwa maisha yetu.

Ndugu yangu amka, uume wako unashambuliwa bila ya wewe kujua. Nimekuwa nikifanya kazi ya ushauri kwa muda wa miaka 8 sasa. hivyo muda wote huo nimekuwa nikishangazwa na wingi wa wanaume wanaokuja kwangu kutafuta tiba ya nguvu za kiume na kuongeza ukubwa wa uume. Ni kweli nahitaji fedha wanazoleta wanaume hao lakini pia nilikuwa nahitaji jibu la swali langu kwanini wanaume wanapata matatizo haya?.Siku moja nilipata mteja mmoja baba mwenye umri wa miaka 48 na alikuja kwangu baada ya kunisikia redioni.Baba huyo alikuja kwangu akiwa na tatizo la nguvu za kiume na alinifurahisha pale aliposema kuwa mke wake ni mganga wa kienyeji na alikuwa anashangaa kuona vijana wadogo wakija kwa mke wake kutafuta tiba wakati mke wake ameshidwa kumsaidia kwa tatizo hili hilo.Mke wake alifaidika kiuchumi lakini hawezi kuwa faida kwa jamii kwa mtido huo.



Toka nianzishe ofisi yangu ya CLINIC YA AFYA YA MAPENZI nimeshuhudia watu wenye umri kuanzia 17 hadi 80 wenye tatizo la nguvu za kiume .Muda huo wote nimekuwa nikifanya utafiti na nikakutana na taarifa ilionionyesha kuwa sio Watanzania pekee wanaohangaika na jambo hilo. Profesa Skakkebaek wa Chuo Kikuu cha Copenhagen huko Denmark anasema kuwa upo ushahidi wa kutosha kuwa kwa miaka 50 iliopita matatizo ya nguvu za kiume na madhaifu mengine ya viungo vya uzazi vimeongezeka sana.

Utafiti uliofanywa mwaka 2003 na shirika la ENVIRONMENTAL RESEARCH unaonyesha kuwa kiasi kidogo cha kemikali ya FLUORIDE iliomo kwenye dawa nyingi za mswaki ina uwezo wa kupunguza kiwango cha kichocheo cha TESTOSTERONE ambacho ni muhimu kwa nguvu za kiume na hamu ya tendo la ndoa. TESTOSTERONE ikipungua na nguvu za kiume zinapungua na sio hilo tu kwa vijana wanaokuwa wanaweza wakajikuta wana uume mdogo ,wanachelewa kutoka ndevu na sauti zao kuelekea sauti za kike. Hayo yote ni madhara ya FLUORIDE unayomeza wakati unapiga mswaki.Japokuwa ni kiasi kidogo lakini bado kinaleta athari mbaya ya tatizo la nguvu za kiume.

Kaka mmoja ambaye aliathiriwa na dawa zenye FLUORIDE alifanya utafiti binafsi na akagundua kuwa hata yule muuaji mkubwa duniani ADOLF HITLER aliweka FLUORIDE kwenye maji ya kunywa kwani alijua inawafanya wanaume wawe wapole na wepesi kukubali kutawaliwa na kutii amri wanazopewa.

Kaka huyo pia alikutana na tafiti inayoonyesha kuwa FLUORIDE inahusika katika kuwafanya wanaume wawe mashoga. Wazazi mnaowahimiza watoto wenu kupiga mswaki sasa ni wakati wa kuangalia upya tabia hii ya usafi.

Njia mbadala na dawa za mswaki tulizozoea na kutumia chumvi itokayo baharini. Uweke chumvi kwenye maji kidogo kisha chovya mswaki wako na tumia hiyo. Lingine ni kutumia BAKING SODA .( dawa itumikayo katika upikaji wa maandazi)Kutumia Baking soda ni kwa kuloweka mswaki wako kwenye baking soda  na kutoa na kuupigia mswaki huo kama kawaida ya upigaji wa mswaki.Ni kweli ulizoea dawa za kawaida zinazopigiwa debe sana lakini ukiona hatari iliopo utaweza kuzoea njia hiii salama  kabisa.

Maoni 3 :

  1. Hello, mimi ni Silvia Arade Baada ya kuwa na uhusiano na mume wangu kwa miaka, alivunja na mimi, nilifanya kila kitu kilichowezekana kumrudisha lakini yote ilikuwa bure, nilitaka kurudi sana kwa sababu ya upendo ninao kwa yeye, nikamsihi kwa kila kitu, nimefanya ahadi lakini alikataa. Nilielezea tatizo langu kwa rafiki yangu na alipendekeza kwamba nipaswa kuwasiliana na kipaji cha spell ambacho kinaweza kunisaidia kupiga spell kumrudisha lakini mimi ni aina ambayo haijawahi kuamini kwa spell, nilikuwa na chaguo kuliko kujaribu, mimi alipeleka barua ya barua ya barua, na akaniambia hakukuwa na shida kwamba kila kitu kitakuwa sawa kabla ya siku tatu, kwamba mzee wangu atarudi kwangu kabla ya siku tatu, alitoa spell na kushangaza siku ya pili, ilikuwa karibu 4:00 jioni. Wangu wa zamani aliniita, nilishangaa sana, nikamjibu wito na yote aliyosema ni kwamba alikuwa na huruma sana kwa kila kitu kilichotokea kwamba alitaka nirudi kwake, kwamba ananipenda sana. Nilifurahi sana na nikamwendea yeye ni jinsi tulivyoanza kuishi pamoja kwa furaha tena. Tangu wakati huo, nimefanya ahadi kwamba mtu yeyote ninayejua kuwa na tatizo la uhusiano, napenda kumsaidia mtu huyo kwa kumtaja kipaji cha pekee halisi na cha nguvu ambacho alinisaidia kwa tatizo langu. barua pepe:
      wewe cadr.zulugreattemple@gmail.comn umpe barua pepe ikiwa unahitaji msaada wake katika uhusiano wako au Uchunguzi mwingine wowote.

    1) Upendo Unaelezea
    2) Upendo uliopotea unaelezea
    3) Talaka inaelezea
    4) Inaelezea ndoa
    5) Kuzuia Spell.
    6) Maelekezo ya kupasuka
    7) Piga Mpenzi wa zamani
    8.) Unataka kupandishwa kwenye ofisi yako
    9) wanataka kukidhi mpenzi wako
    10) Tiba ya ugonjwa wowote unaoambukizwa
    Wasiliana na mtu huyu mkuu ikiwa una shida lolote na ufumbuzi wa kudumu
    kupitia dr.zulugreattemple@gmail.com

    Asante baadaye

    JibuFuta
  2. Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma

    Kwaheri Gerd Ulrich

    JibuFuta
  3. Nilikuwa na uzoefu mgumu na wa kutisha katika mahusiano yangu ya awali na nilisubiri sana hadi nilipokutana na mume wangu na baada ya kukutana, tulipendana na kuoana. Baada ya miaka miwili ya muungano, alibadilika na kuanza tabia za ajabu na hatimaye kuniacha mimi na mtoto wetu. Nilifanya kila niwezalo kumrudisha lakini yote yalikuwa bure. Nilipata maoni mengi na kila mtu alikuwa akisema juu ya Dk Dawn. Niliwasiliana naye na alinijibu na kunipa juhudi zake zote na msaada ili kuifanya ndoa yangu ifanye kazi tena. Yeye ndiye aliyenijulisha kuwa mume wangu alichukuliwa kutoka kwangu na mwanamke mwingine na akafanya uchawi wa kuungana tena ambao uliturudisha pamoja na kurudi nyumbani kwangu na kijana wangu. Hakika, hakuna mtu huko alidanganya kuhusu Dk Dawn na matendo yake mema. Mume wangu alirudi nyumbani saa 73 baada ya kufanya kazi kama alivyoahidi. Wasiliana naye sasa na uwe na uhakika kwamba atakusaidia kuunganisha tena ndoa/uhusiano wako.
    Atakusaidia kushinda kesi mahakamani au kulipiza kisasi dhidi ya adui zako.
    Atakusaidia kuponya ugumba na kila aina ya magonjwa/magonjwa.
    Ana suluhisho la shida yako.
    Wasiliana na Whatsapp yake: +2349046229159
    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com

    JibuFuta

                                    HAMU YA TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE  Mwanamke anapojikuta amepoteza hamu ya tendo la ndoa anakuwa mzigo k...